Naj kahojiwa na Soudy Brown, nikweli anatoka na Baraka da Prince..?
on
Taarifa hizo zimeanza baada ya Baraka da Prince kupost picha kwenye mtandao wake wa instagram, Soudy Brown amejibiwa na Naj hivi…’Ngoja nikwambie Soudy, Baraka ni mshikaji wangu wa karibu sana mimi hivyo vitu vingine vinavyoongelewa navichukulia poa tu‘>>> Naj
Baraka na Naj
0 comments:
Post a Comment