Thursday, 24 March 2016

Karrueche Tran apata Dili mkubwa zaidi ya kuwa Ex wa Chris Brown tu.

021616-celebs-out-karrueche-tran
Karrueche Tran atakuwa ni mtu mwenye furaha nyingi kwa sasa baada ya kupata kazi kubwa itakayo mpatia umaarufu zaidi ukiacha kuitwa Ex wa Chris Brown tu.
Karrueche Tran anaelekea kutangazwa kuwa jaji mpya kwenye show kubwa ya kutafuta vipaji vywa wanamitindo cha America’s Next Top Model.
Show hii imekuwa ikifanya mabadiliko makubwa na inategemewa kuwa mwanamitindo Gigi Hadid au Kendall Jenner watachukua nafasi ya kutangaza show hii badala ya Tyra Banks
Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive