Tuesday, 22 March 2016

DJ Khaled aanza kujitamba kufanya kazi na Rapper Maarufu Duniani Jay Z.

jay-z-dj-khaled-snapchat1
DJ Khaled amezungumzia kufanya kazi chini ya lebel ya Jay Z ‘Roc Nation’ nakusema ni sawa na mabosi wawili wa muziki kufanya kazi pamoja.
Khaled anasema “Mimi na JayZ tumekuwa marafiki kwa muda sasa na tumejenga mahusiano mazuri,nilimpigia simu nika mwambia tutengeneze historia pamoja basi, tupiga kazi pamoja ‘Jay Z na DJ Khaled ni sawa na mabosi wawili wa muziki wanafanya kazi pamoja”
Chini ya Roc Nation DJ Khaled anasimamiwa pamoja na wasanii kama Rihanna, Big Sean, Fabolous, na Kanye West.
Pia Khaled amesema anawimbo unakuja kafanya na Kendrick Lamar.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive