“Stamina nimepewa stori zake, alikuwa anajiita Chid Benz kwao huko,alivyokuja mjini na kuona Chid Benz ana matatizo ndio akabadilisha na kusema Fid Q ndio kila kitu,sio mbaya lakini uhalisia utabaki kuwa mimi ndo nimemu inspire kuingia kwenye game” alisema Chid Benz.
Friday, 11 March 2016
Home »
» CHIDI BENZI adai yeye ndio baba wa muziki wa STAMINA na sio FID Q..
0 comments:
Post a Comment